Jumatano, 7 Agosti 2013

TAARIFA KWA WALIMU WAKUU NA WARATIBU ELIMU KATA TOKA WILAYA YA BUHIGWE

Mtangaziwa kuwa kikao ambacho kingefanyika tarehe 05/08/2012 kimeahirishwa hadi tarehe 12/08/2013 kuanzia saa 3.00asubuhi. Unaombwa kufika bila kukosa, pamoja nakikao hicho pia tutafanya tathmini ya mtihani wa CLUSTER. Mnaombwa kuzingatia muda ili tumalize mapema.
Nawatakia kazi njema
Oscar Sabutoke
Mratibu TRC Buhigwe

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni